top of page

Tunakuja na Vipaji Vyetu

Updated: Dec 23, 2023


  1. Tunakuja na vipaji vyetu, mbele zako ee Bwana, tunatoa shukurani zetu, kwako Baba Muumba x2

  2. Ni matunda ya mashamba yetu, uliyotujalia, ndilo jasho letu sisi Bwana,twakuomba pokea x2

  3. Watumishi wako tunakuja, na zawadi kidogo, twakusihi sanaMungu Baba, pokea mikononi x2

  4. Nafsi zetu zote mali yako, utupokee sisi, Ee Bwana utujalie afya, uzima na Baraka x2


Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page