Tunakushukuru Mama Maria
- P.F Mwarabu
- Oct 12, 2023
- 1 min read
Tunakushukuru Mama Maria, kwa neema unazotuombea asante Mama wa Yesuuliye na huruma uzidi kutuombea mpaka saa ya kufa
1. Mama wa Yesu mama mfariji wetu,asante sana kwa kutusimamia
2. Neema zako zinatutia nguvu,asante Mama Maria mtakatifu
3. Tunafuraha, tuna matumaini, kwa kuwa tunawe mama wa huruma
4. Mama wa Yesu, ewe mama Maria, tusaidietushinde vishawishi
5. Katika wingu ndiwe mbarikiwa, katika maishandiwe kinga yetu

Comments