top of page

Tutoe Sadaka


Tutoe sadaka kwa Bwana Mungu wetu (kwa heshima) tumtolee Bwana shukrani zetu x 2

Katoe Kwa moyo thabiti katoe ulicho nacho Naye Bwana Mungu wako naye Mungu atakubariki

  1. Enyi waumini tutoe sadaka kwake Mungu wetu, tutoe sadaka kwa moyo wa mapendo, tuzo letu kubwa huko mbinguni

  2. Njoni wote tutoe sadaka zetu kwake Bwana, kwa sifa na utukufu wake Mungu wetu, kwa shukurani tukampe Bwana

  3. Enyi wakristu fikirini mema ametutendea , nasi kwa shukrani tumpe Bwana kama zawadi, naye atazidi kutujalia

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page