top of page

Twae Wangu Uzima

  • Hymns
  • Nov 2, 2023
  • 1 min read

1.Twae wangu uzima, Sadaka ya daima; Twae saa na siku, Zikutukuze huku. 2.Twae mikono nayo, Ifanye upendavyo, Twae yangu miguu, kwa wongozi wako tu. 3.Twae sauti yangu, Niimbe kwa Mungu tu; Itwae na midomo, Ijae neno lako. 4.Twae dhambi pia, Na yote ya dunia; Twae yangu hekima, Upendavyo tumia. 5.Nia itwae, Mungu, Haitakuwa yangu; Twae moyo; ni wako, Uwe makazi yako. 6.Twae mapenzi yangu, Sifa za moyo wangu; Twae kabisa nafsi, Niwe wako halisi


Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page