top of page

Twaja Mbele Zako


Twaja mbele zako, Ee Bwana na sadaka zetu twaleta, tunakutolea Twakuomba upokee x2

  1. Twakutolea sadaka zetu ee Bwana twaomba upokee.

  2. Kwa moyo safi twakutolea, twaomba upokee ee Baba

  3. Mazao yetu uyapokee, twakupa kwa moyo wa mapendo.

  4. Mkate na divai twakupa, pokea ni jasho letu Bwana.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page