TwakutoleavyoAnonymousOct 30, 20231 min readRated NaN out of 5 stars.Asante sana sadaka yetu Bwana uipokee x 2Twakutoleavyo ya mavuno yetu Bwana na ya mifugo uipokeeNa kazi zetu twakutolea Bwana utuwezeshe tufanikiweNa sala zetu twakutolea Bwana uzipokee tunakuomba.
Comments