Twashukuru Bwana Yesu
- Anonymous
- Nov 1, 2023
- 1 min read
Twashukuru Bwana Yesu kwa mapaji yako
Umetulisha sisi wana wako, kwa huo mwili wako ulio bora, asa-nte.
Umetunywesha sisi wana wako, kwa hiyo damu yako iliyo bora, asa-nte.
Na mafundisho yako tumepata, na sakramenti zako tumepata, asa-nte.
Bwana Yesu anatupenda sana akatufilia msalabani – asa-nte.

Comments