top of page

Twende Nyumbani mwa Bwana- Hoyaa

Updated: Dec 23, 2023



Twende nyumbani mwa Bwana, Hoyaa twende nyumbani mwa Bwana hoyaa x2 Tuimbe tushangilie, tupige vigelegele, tupige makofi hoyaa, hoyaa x2

  1. Twende tumsifu kwa nyimbo na zaburi wa Kristu (hoyaa) tumsujudie twende tukamwabudu wa Kristu (hoyaa)

  2. Twende tumsifu kwa ngoma na kayamba wa Kristu (hoyaa) tumsujudie twende tukamwabudu wa Kristu (hoyaa)

  3. Twende tukacheze vinanda na vinubi wa Kristu (hoyaa) tumsujudie twende tukamwabudu wa Kristu (hoyaa)

  4. Tujitayarishe kwa neno lake Mungu wa Kristu, (hoyaa) Tumsujudie twende tukamwabudu wa Kristu (hoyaa)

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page