Twende Tutoe Sadaka
- Anonymous
- Oct 30, 2023
- 1 min read
Twende tutoe sadaka Kwa Mungu wetu) x2
Twendeni Wakina mama Twendeni (Twende tutoe (jamani) kwa Twende tutoe (sote)
Twende tutoe sadaka kwa Mungu wetu)x2
1. Tutoeni kwa moyo mwema- Atapokea
Ndugu toa kwa ukarimu- Atapokea
2. Mkate pia na divai Atapokea
Hayo ni mazao ya shamba- Atapokea
3. Nazo fedha za mifukoni- Atapokea
Ni jasho la mikono yetu- Atapokea
4. Hata kidogo tukatoe- Atapokea
Hata pia na sala zetu- Atapokea

Comments