top of page

Uje! Roho Mtakatifu

Uje! Roho! uje Roho tuangaze toka mbinguni uje Roho uje Roho kwako wewe tuna imani x2

  1. Kwa kiapo chetu, tunaitikia, kwa vinywa vyetu, kwako wewe Roho wa Mungu

  2. Tunakiri Kwako, tuitikiye, usitutupe, sisi wana wako ee Mungu

  3. Tuongoze Baba, tunapoanza maisha mapya tuwe wana wakusikiza.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page