top of page

Uje Roho Mtakatifu

Updated: Dec 23, 2023

Uje roho mtakatifu,Uziendee nyoyo za waumini wako, Uwatie mapendo yako, aleluya

  1. Roho ya Bwana imeujaza ulimwengu, nayo itaviunganisha viumbe vyote hujua maana ya kila sauti aleluya.

  2. Roho wa Bwana aliwafundisha watu wote na wote wakatekwa na Roho Mtakatifu wakisema matendo makuu ya Mungu aleluya

  3. Akawaunganisha watu wa lugha mbalimbali, wakaungana wote pamoja imani moja , watu wote wakamshangilia kwa furaha

  4. Tunakuomba uje ee Roho Mtakatifu,tufunulie siri za mbingu zilizofichwa, Tujue ukweli wa rehema zako aleluya

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page