Umsihi Mwanao Yesu
- P.F Mwarabu
- Oct 13, 2023
- 1 min read
Umsihi mwanao Yesu, Maria, asamehe makosa yangu
Anitoe mashaka yote, Maria, yaliyomo moyoni mwangu
1. Maria unisaidie Maria, Maria uniokoe, Mimi mwanao mwenye dhambi
2. Nionee huruma mama, mimi niliye mpotevu,Mwili wangu ni dhaifu, kwa sababu ya dhambi zangu
3. Na magonjwa niponye mama, kwa jina la mwanao Yesu, Naye Roho mtakatifu, imarishe nguvu zangu

Comments