top of page

Una Heri Una Heri


Una heri una heri Mama Bikira Maria x2

  1. Mama wa mwokozi, Maria, Mama Bikira Mtakatifu, Mama bora mwenye huruma, 'takuheshimu siku zote Maria

  2. Bikira uliyekingiwa, mbarikiwa Mama Maria Bikira usiye na doa, 'takutukuza daima Maria

  3. Uliyebarkiwa sana, kuliko wanawake wote Uliyejaa neema nyingi, tunakusifu Mama yetu Maria

  4. Mama mwenye usafi wa moyo Mama Bikira mpendelevu Mama Malkia mwaminifu, una heri kweli milele Maria

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page