top of page

Unisikie

1.Damu iliyomwagika msalabani pa Mwanao na,wamwagayo mashahidi popote duniani,iungane na sala yangu.

Unisikie (Bwana ni) nasema nawe (njoo) uyachukue niliyobeba moyoni mwangu (Bwana) x2

2.Yajazayo moyo wangu, yalowanisha macho yangu na yaniganisha ulimi yanifumba kinywa, yatetemesha mwili wangu.

3.Nami nakushukuru, maana unasikia, Bwana nakutukuza,kwakuwa unanijibu

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page