top of page

Upumue Ndani Yangu

Upumue ndani yangu Roho Mtakatifu, nipate kuwaza matakatifu. Unisimamie ee Roho Mtakatifu, nipate kutenda matakatifu.

  1. Nifunze kwa utamu ee Roho Mtakatifu, nipate kupenda matakatifu

  2. Naomba unituze ee Roho Mtakatifu, nipate kutunza matakatifu

  3. Ukaniimarishe ee Roho Mtakatifu, nisiyapoteze matakatifu

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page