Usiku Mtakatifu
- Hymns
- Nov 4, 2023
- 1 min read
1.Usiku mtakatifu!
Wengine walala
Wakeshao ni Yosefu tu na Maria waliomlinda
Yesu mwana mzuri x2
2. Usiku mtakatifu!
Wachunga wapewa
habari nzuri na malaika, zienezwe popote sasa:
Yesu mponya kaja x2
3. Usiku mtakatifu!
Siku ya furaha
imetuangaza Kimungu tumeupewa ukombozi
Kristo amefika x2

Comments