Usiniite Mwanao
- Anonymous
- Nov 2, 2023
- 1 min read
Usiniite tena mwanao,usiniite tena mwanao x2 Unifanye (kuwa) mmoja, (kuwa) mmoja wa watumwa wako, unifanye (kuwa) mmoja (kuwa) mmoja wa watumwa wako
1. Nimekosa juu ya mbingu,nambele yako Baba.
2. Dhiki kuu imenisonga,nami nahangaika.
3. Nimezitumia vibaya,neema ulizonipa.

Comments