top of page

Utamtumikia Nani?

Chagueni-(hivi leo) mtakaye mtumikia x2 (lakini-mimi nitamtumikia Bwana x2)

  1. Mtu hawezi kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja-kwani (atampenda mmoja wao) x2

  2. Mchagueni mtakaye kweli mtumikia lakini mimi nita (mtumikia Mungu Mwenyezi) x2

  3. Mungu asema, mimi ndio Mungu wako na wa kweli, usiwahi kamwe kweli (kuwaabudu miungu wengine) x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page