top of page

Utujie Masiya Wetu

Utujie, Masiya wetu

  1. Wakungojao hawatafadhaika…. Masiya wetu

  2. Unayeketi juu ya kerubimi… Masiya wetu

  3. Amsha uwezo wako, uje … Masiya wetu

  4. Dondokeni enyi mbingu toka juu.. Masiya wetu

  5. Na mawingu yamshushe mwenye haki.Masiya wetu

  6. Nchi na ifunuke na kumzaa Mkombozi Masiya wetu.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page