top of page

Utujie Masiya wetu

  1. Bwana huwafanyia hukumu walioonewa- Masiya wetu

  2. Huwapa wenye njaa chakula ….

  3. Bwana huwafungua waliofungwa….

  4. Huwafumbua macho waliopofuka….

  5. Bwana huwainua walioinama

  6. Bwana huwahifadhi wageni…

  7. Huwategemeza yatima ma mjane….

  8. Bwana huwapenda wanyofu

  9. Bwana atamiliki milele….

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page