Utukufu na Ukuu
- John Mgandu
- Nov 12, 2023
- 1 min read
Utukufu na ukuu una yeye Bwana hata milele na milele x2
Ee Mwanakondoo astahili kupokea enzi na utajiri
Ee Mwanakondoo astahili kupokea nguvu na heshima
Ewe Mungu wangu mpatie mfalme hukumu pia na haki yako

Comments