top of page

Waipeleka Roho

Waipeleka Roho, waipeleka Roho yako Ee Bwana, Roho yako ee Bwana (Ee Bwana) nawe waufanya upya, uso wa dunia aleluya x2


Njoo Roho Mtakatifu, uijaze nyoyo ya waamini, na uwashe ndani yao upendo wako.


Ee Nafsi yangu, umhimidi Bwana, wewe Mungu wangu, na imejifanya kuwa mkuu sana.


Ee Bwana Mungu wangu, jinsi yalivyo mengi matendo yako na dunia imejaa mali yako.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page