top of page

Wamwendea Yesu

  • Hymns
  • Nov 4, 2023
  • 1 min read

Wamwendea Yesu kwa kusafishwa, na kuoshwa kwa damu ya kondoo? Je, neema yake atumwagia, tumeoshwa kwa damu ya kondoo?


Kuoshwa, kwa damu, itutakasayo ya kondoo; ziwe safi nguo nyeupe mno; umeoshwa kwa damu ya kondoo?


Wamwandama daima mkombozi, na kuoshwa na damu ya kondoo?

yako kwa msulubiwa makazi, umeoshwa kwa damu ya kondoo?


Atakapokuja Bwana -arusi, Uwe safi kwa damu ya kondoo!

Yafae kwenda mbinguni mavazi, Yafuliwe kwa damu ya kondoo.


Yatupwe yaliyo na takataka, na uoshwe kwa damu ya

kondoo. Huoni kijito chatiririka, na uoshwe kwa damu ya kondoo?

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page