top of page

Wenye afya

Wenye afya hawamuitaji daktari, wanaomwitaji ni waliowagonjwa, (sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi, ili wapate kutubu) x2

  1. Baada ya hayo, Yesu akamwona Lawi mtoza ushuru mmoja nakuambia njoo nifuate. Lawi kamfuata, nakumwandalia Yesu karamu kubwa wakiwa pamoja na kundi la wautozwa ushuru.

  2. Mafarisayo, na walimu washeria waliwanung’unikia wanafunzi wake, huku wakisema, kwanini nyinyi mnakula hata kunywa pamoja na wenye dhambi na wautozwa ushuru, Yesu akasema!

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page