top of page

Wosia Nakupa

Mwanangu tega sikio wosia mi nakupa dunia inapita achana na mambo yake (usikubali kugombana na mtu kwa sababu yoyote ile ikiwezekana umsamehe umsamehe na kumwombea) x2


  1. Angalia sana dunia ya sasa ina mambo mengi sana achana na urafiki urafiki mbaya usije ukapotea dunia yenye giza

  2. Angalia sana ni jinsi gani unaongea na watu achana na urafiki urafiki mbaya usije ukapotea dunia yenye giza

  3. Angalia sana watu wabaya wasikuteke akili achana na urafiki urafiki mbaya usije ukapotea dunia yenye giza

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page