top of page

Wote wakajazwa

Wote wakajazwa, Roho Mtakatifu wakisema matendo makuu ya Mungu aleluya x2


Kama Roho Mtakatifu alivyowajalia, Petro akasema kwa sauti kubwa


Watu wa Uyahudi, na ninyi wote Jueni jambo hili mkasikilize


Tubuni kila mmoja mkabatizwe Nanyi mtapokea Roho Mtakatifu


Wengi walidhihaki na kusema wa-melewa kwa nyimbo mpya


Yesu huyo Mungu alimfuata na sisi sote tu mashahidi wake

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page