top of page

Yesu Kristu Amezaliwa

Yesu Kristu amezaliwa kwenye mji, mji wa Daudi Yesu kazaliwa kwa mji, mji wa Daudi nuru(nuru) nuru(nuru) nuru (ametuangazia leo) (mwanga wa uzima) (maana kwa ajili yetu mh, Bwana amezaliwa) x2

1. Yeye atakuwa mshauri wa ajabu (wa ajabu) kikondoo atakaye (ondoa dhambi zetu sote).

2. Na taifa jipya la Mungu litakuwa (walio kombolewa wote).

3. Ewe binti yangu zayuni itazama (itazama) Nao ufalme wake Mungu (ni ufalme wa watu wote).

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page