top of page

Yesu Kwetu ni Rafiki

  • Hymns
  • Nov 4, 2023
  • 1 min read

1. Yesu kwetu ni rafiki Hwambiwa haja pia,

Tukiomba kwa babaye, Maombi asikia

Lakini twajikosesha Twajitweka vibaya,

Kwamba tulimwomba Mungu Dua angesikia.


2. Una dhiki na maojo, Huwezi kwendelea,

Haifai kufa moyo, Dua atasikia,

Hakuna mwingine Mwema Wakutuhurumia,

Atujua tu dhaifu, Maombi asikia


3. Je hunayo hata nguvu huwezi kwendelea,

Ujapodharauliwa, ujaparushwa pia,

Watu wangekudharau, wapendao Dunia

Hukwambata mikononi dua atasikia

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page