Yesu Tumaini Langu
- Hymsco Library

- Nov 3, 2023
- 1 min read
1. Yesu tumaini langu tarajio letu Yesu tumaini langu maishani mwangu x 2
Aa maishani mwangu, huniongoza, tena tegemeo letu, kutukomboa x2
2. Nitapanua mawazo – ni weze kuelewa yale mafundisho yake aliyo nifundisha x 2
3. Ewe Roho Mtakatifu niwezeshe naomba nifwate Mwokozi Yesu kiongozi mwema x 2

Comments