top of page

Yule Kijana Mwana Mpotevu

  1. Yule Kijana mwana mpotevu, alitamani mali yake yote, na mwisho wake, akapata taabu, alitamani kula na nguruwe x2

Ee mwanangu njoo rudi rudi rudi x3 Kule nyumbani Baba anakungoja

  1. Yule Kijana kafikiri sana, akakubali nimepata taabu, nitaondoka niende nyumbani nikamwambie Baba nimekosa x2

  2. Yule Kijana kaondoka kwenda, akiwa mbali Baba akamwona, kwa huruma nyingi, akaenda mbio, na kwa upendo akambusu mwana x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page