Ziliwatokea Kama Ndimi
- Anonymous
- Nov 12, 2023
- 1 min read
Ziliwatokea zilizogawanyika kama ndimi na kukaa ndani yao x2
Wakajazwa Roho Mtakatifu, Wakasema kwa lugha lugha mpya
Wakanena maneno makuu ya Mungu Wakasifu jina lake takatifu
Yatupasa nasi sote tuhbiri Kama mitume walivyohubiri

Comments